Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2016-06-24%2019.09.59%201279804435232912980_1437924563.jpg
 
Tulipokuwa watoto tulikuwa tunasagiwa kwenye kijiko. Wahenga bila shaka mnakumbuka muziki wa quinine na chloroquine zilizosagwa kwenye kijiko. Wakati mwingine inabidi watu wanne wakushikilie....
Kololokwini!!!yaani 4-4-2[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa afadhali kabisa mkojo wa punda na ile ya kikohozi yenye utamu wa muwasho.

Ilikuwa ukinywa kololokwini lazima kuwe na gunzi au jiwe lile la kusugulia gaga bila kusahau fimbo ya kujikunia mgongoni...
Sindano sijui za kistapeni hadi tako linapalalaizi...mwe!!!!
 
Back
Top Bottom