[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] wembamba hampendani,mimi naanzaje kwa mfano?
Acha niendelee na ile unaiita mizigoView attachment 715858
Kunguru hafugiki maa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sante kijana mtulivuWe ni wakipekee sana
Acha uwoga wwKunguru hafugiki maa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
NumbisaSante kijana mtulivu
Ndiyo akili hiyo[emoji124] [emoji124]Acha uwoga ww
Sio kweliNdiyo akili hiyo[emoji124] [emoji124]
Aaah mbona mnaongelea enzi zangu kabisaaaaaaaaaKololokwini!!!yaani 4-4-2[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilikuwa afadhali kabisa mkojo wa punda na ile ya kikohozi yenye utamu wa muwasho.
Ilikuwa ukinywa kololokwini lazima kuwe na gunzi au jiwe lile la kusugulia gaga bila kusahau fimbo ya kujikunia mgongoni...
Sindano sijui za kistapeni hadi tako linapalalaizi...mwe!!!!
Toa sababuSio kweli