Jakitooo...!!!Nipumxike angalau kidogo nanii atabaki hapa na bhangeshi wake wabonge kikoromije...
Polee maaa ngoja nkuitie pruner
Cc. Pruner carba anaomba ban huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pimbi wamemkamata? Sasa pimbi utafanyeje? Maisha bila pimbi yatawezekana kweli?Kunyimana ubuyu si vizuri bhana.
Wanipe tu hiyo ban kwakweli nikapumzike maana pimbi wangu yuko kifungoni sijui hata kafanya nini.
Cc:mods nataka ban[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu wewe upate ban nanii unamwacha na nani hapa?muone[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Njoo malaika nikufundishe jinsi ya kupata ban....Nishapigwa ban mara moja. Uzoefu ninao !!!Shauri yako watakulima ban, Natamanigi nipate ban sijui kwann[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtoto mdogo huyu malaika wa Mungu unamwazia hayo kweli mkuu?Inavyo onesha huyu atawahi kuijua b.oro
Ona sasa[emoji134] [emoji134] utakijuaje kitamu???Kitamu usikionje
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuliteseka sana. Akirudi anajisifia kuwa mali yake analinda mwenyewe na viparabo vya kejeli kibao....shuaiiniii yuleee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaahhaa maskin kijana mpole
NEVER...Cole Williams zuzu
Acha tu wapigwe na waume zao kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jizazi...!!!!
HatariJizazi...!!!!