Hata kwenu uangalifu na umakini unahitajika.Mabinti hasa muwe waangalifu jamani. Kuna binti humu alikuwa mashuhuri sana japo sasa simuoni nilikutana na picha zake mahali jamaa alikuwa analalamika kuwa eti binti alikuwa anamlazimisha wafanye mambo mabaya wakati wa kugegedana. Ila ukisoma post za binti mwenyewe yaani anaonekana kama mtakatifu fulani hivi...
Hahahahaa! Wanasitiri vifua; si wajua mwanamke kujisitiri.Ati Girls with small boobs only wear brahs to protect there lungs[emoji23][emoji23]
Ndiyo maana nikasema hasa mabinti. Mi naonaga midume hata ikidhalilishwa siyo ishu kivile, ila mabinti sijui kwa nini huwa inaumiza sana. Tazama LeMutuz. Ingekuwa binti ndo kafanyiwa vile unafikiri ingekuwaje? Ila you are right. Sote inabidi tuwe waangalifu !!!Hata kwenu uangalifu na umakini unahitajika.
Kwa binti inategemea na binti mwenyewe, mwingine wala haimsumbui kichwa..Ndiyo maana nikasema hasa mabinti. Mi naonaga midume hata ikidhalilishwa siyo ishu kivile, ila mabinti sijui kwa nini huwa inaumiza sana. Tazama LeMutuz. Ingekuwa binti ndo kafanyiwa vile unafikiri ingekuwaje? Ila you are right. Sote inabidi tuwe waangalifu !!!