mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu BAK niajeNdiyo Best mzima weye!? Have a great Monday.
Mkuu BAK niajeNdiyo Best mzima weye!? Have a great Monday.
Yap inayoyomaJumatatu ingine
Bora niniMvua na baridi
AminaMungu atupe siku njema
Flat mkuu. Spherical ni mbwembwe za wazungu tu kutupoteza...Wadau eti Dunia yetu ni spherical or flat
Kumbe wapima kina cha maji ya bahari kwa miguu, eneweiTranslation itapendeza LoL! Hahahahaha mie sikijui kijita banaaa. Nilikuwa naigiza tu ulichoandika.
AMUN RAMuwe na siku njema wapendwa. Tumshukuru Mungu wetu daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mwanamke wa shoka
Napenda sana haka kamsemojumatatu ya kununa mpaka saa tano..
Hahahah! Ila kuna vilima na milima, [emoji2]Flat mkuu. Spherical ni mbwembwe za wazungu tu kutupoteza...
Yapuzalendo wetu udumu sana
Kumbe wapima kina cha maji ya bahari kwa miguu, enewei
Nilimaanisha hivi:- Habari za siku? (Eja ji nsiku?)