Nija kisi BAK. Uli muwanga?
Mwakasege bonge la mwalimu
Hapana umekoseaHumu ndo kwnye likes???
MwlMwakasege
Wp tena mzee lver[emoji30]?Hapana umekosea
Mkuu, unauliza majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali?huu uzi bado upo tu
Yeye ni kufundisha tu sio Mara nunua maji Mara chumvi Mara nini sijui yaani full mazingaombeHana mbwembwe kama hawa wengine. Yeye ni neno tu basi. Nitajitahidi niende kwenye haya maombi bro....
My Queen amepigwa Ban ,KK naye duMods wamecharuka kweli kweli na ban aisee. Ajabu mi sipati wakati nataka kupumzika. Naomba tupigwe ban pamoja...
View attachment 718861View attachment 718862View attachment 718864
My loveWewe!
Achana na siasa my love tuachie wenyewe Mimi nachangia no povu lakiniHahahaha
Nimechoka kubishana kimwili sasa napiga kwenye ulimwengu wa roho!
Ukiwa nyuma ya keyboard sio uhaini26/4 huo ni uhaini
Pimbi utambebea mbeleko gani?Na Mimi daddy wake[emoji41]
Pole sanaPost wale mbwa kwenye kila thread inayoshabikia maandamano, utakula bam tu!
Ndicho kilicho niponza mimi!
Hahahaha