Nija kisi BAK. Uli muwanga?Eja jinsiku Pyaar!? 🙂
Hapo mods ndipo wanaponifurahishaAcha kabisa,jamaa alikuwa me akaja na id ya kike na tambo kibao.
Haikuchukua muda sana akagundulika na mods wakaunga id zake
Hahahahaha[emoji23] why wanatufanyia hvyo, kumbe naweza kua PM kwa mtu nashusha mistari kwa dume jenzangu, fumbafu kabisa hahaha
Jaribu tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mods wanajaribiwa banaa
Mzee wa mwakaleli niajeUzi wa Natafuta (huu uzee wa kupenda ubuyu ni shida) ulikuwa na nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muwe makini tu kwakweli,si kila pm ni yakuingia kichwa kichwa,mtachinjwa
Lete mrejeshoNgoja niende nikawajaribu kdg
Sexless du hatari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama mnajuana nje ya hapa ni vizuri,kama ni mjuano wa kijf usishangae siku unakuta ni me[emoji23][emoji23].
Halafu kuna watu jinsia zao hazijulikani,unamjua sexless wewe?
HahahahahaMuke ya mutu hiyo kijana[emoji23]