Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi Nyerere alikuwa na ugomvi na Wakara? Kwenye ile hotuba yake mashuhuri ya mwaka 1995 akizungumzia nyufa za Tanzania ilipofikia ishu ya ukabila kwenye urais alitumia mfano wa Mkara. Basi nikifikaga hapo huwa nacheka sana na kuwahurumia Wakara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakara watu safi sana
 
Back
Top Bottom