myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Utamu wa pipii ulimini"
Mie sipendiKila mtu anapenda pipii..
Aiseee... Nahangaika na maparachichi yangu hukoo,kenyewe kamekaa tu...hata shughuli hakaiwezi zaidi ya kumung'unya tu...natoa tu kwamba nifanyeje...mwisho aniite SIPONSA?!!!Hayo majina mnaitwa/wanaitwa kisirisiri[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti atalipa hata visivyo stahili
Oooh!
Upo frii tuanze darasa?
Huna ulimi? Unapenda ice cream?Mie sipendi
Hahaha! Siku hizi hata samaki anaishi nchi kavu..Wewe ndo mwanafunzi unayepelekwa darasa lenye mauwa na nyimbo za kihindi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani
Mimi?!! Walaaaa...[emoji2] [emoji2] [emoji2] , usinipeperushie mwanafunzi wangu.
Ulimi ninao, sipendi vya kumung'unyaHuna ulimi? Unapenda ice cream?
Wera weraaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ndo mwanafunzi unayepelekwa darasa lenye mauwa na nyimbo za kihindi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani
Mh!!Ulimi ninao, sipendi vya kumung'unya
[emoji2] [emoji2]Aiseee... Nahangaika na maparachichi yangu hukoo,kenyewe kamekaa tu...hata shughuli hakaiwezi zaidi ya kumung'unya tu...natoa tu kwamba nifanyeje...mwisho aniite SIPONSA?!!!
Umenifanya nichekeWera weraaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 720711
Naona kuna moyo umekudondokea[emoji1][emoji1][emoji1]
Hongera aiseh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli maisha ni kuchaguaView attachment 720706