carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mfundishe bhana teh!!Aaaaa! Darsa tu.
Mfundishe bhana teh!!Aaaaa! Darsa tu.
Mwanafunzi wa majaribio...Mfundishe bhana teh!!
Sasa afanyeje na wewe ndo unamuweka mjin?Aiseee... Nahangaika na maparachichi yangu hukoo,kenyewe kamekaa tu...hata shughuli hakaiwezi zaidi ya kumung'unya tu...natoa tu kwamba nifanyeje...mwisho aniite SIPONSA?!!!
Weye ndo wafanya aogope ogope.Mfundishe bhana teh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimekumbuka mbaliWera weraaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 720711
Thawa...We mzee Jongo, embu kamsikilize Jangala huko; anakuita! [emoji1]
Sijambo jirani,sijui weweJirani hujambo..
Wagumu oooooeeeeeLimoyo linidondokee mimi? Haijawahi kutokea aisee, sijui nina gudu/gundu? Pangu pakavu kama sisi huwa tunaamua kuwa “wagumu” tu! [emoji1][emoji1]
Mfundishe bhana teh!!
Acha hizo mambo bhana,watu wanahangaika kutafuta mauwa na nanyimbo ya kihindi unasema unagundu[emoji23][emoji23][emoji23]Limoyo linidondokee mimi? Haijawahi kutokea aisee, sijui nina gudu/gundu? Pangu pakavu kama sisi huwa tunaamua kuwa “wagumu” tu! [emoji1][emoji1]
Sijambo kabisa..Sijambo jirani,sijui wewe
[emoji2] [emoji2] , mwazidi kumtia uogaMwanafunzi wa majaribio...
Teh!!siyo mbaya kama wamekubaliana[emoji23]Mwanafunzi wa majaribio...
Tobaaaa[emoji134][emoji134][emoji134]Weye ndo wafanya aogope ogope.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] , weye nawe wachombezaAcha hizo mambo bhana,watu wanahangaika kutafuta mauwa na nanyimbo ya kihindi unasema unagundu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hana namna asome tu[emoji2] [emoji2] , mwazidi kumtia uoga