Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo, kiu ya wabunge hao haikukatwa baada ya Dk Tizeba kuweka msimamo kuwa mazao hayo yanasimamiwa kwa mujibu wa sheria.

Dk Tzeba pia aliwahi kukutana na joto la Dk Magufuli Januari mwaka huu wakati Rais akimwapisha Doto Biteko kuwa naibu waziri wa madini.

Rais Magufuli alisema haiwezekani baadhi ya mikoa, ikiwamo inayotegemewa kwa uzalishaji wa chakula kwa wingi, kushindwa kupata mbolea, huku yeye (Dk Tizeba) akiwa hajachukua hatua.
 
1521569420712.jpg
 
Ninapozungumza hapa ndugu zangu, ipo mikoa haijapelekewa mbolea, ikiwamo mikoa ya Rukwa sijui na mkoa gani. Wakati tunaizungumzia kama ‘the big four’ kwa ‘production’ ya chakula, mbolea bado haijapelekwa, lakini waziri wa kilimo yupo.

“Nimempa maagizo Waziri Mkuu mbolea isipofika huko ndani ya wiki hii, huyo anayehusika na kupeleka mbolea aache kazi, labda tukianza kukimbizana tutajifunza.”
 
Back
Top Bottom