Sergio Aguero v Tottenham, 2014
Straika wa Manchester City, Sergio Aguero suala la kutupia bao zinazoanzia nne ni jambo la kawaida sana kwake.
Aliwahi kufanya hivyo mara kadhaa, alipowafunga Tottenham Hotspur, Oktoba 2014 kwenye ushindi wa 4-1, akawapiga Newcastle, Oktoba 2015 kwenye ushindi wa 6-1, ambapo alipiga bao tano na alifanya hivyo kwenye ushindi wa 5-1 dhidi ya Leicester City, Februari mwaka huu.