Hakunaga ushabik wa timu zote zote[emoji2] [emoji2] , mie kotekote nipo.
Ninyi watoto mnatukosea sana heshima wakina NshomileHahahahaaa! Wengi tu.
Au timu yako inashika mkia kwenye ligi[emoji2] [emoji2][emoji2] [emoji2] , mie kotekote nipo.
Braza vipi na hii mizigo ??
Namaanisha nyanja zote..Ikiwa ni pamoja na mpiraHakunaga ushabik wa timu zote zote
[emoji2] [emoji2] ,Au timu yako inashika mkia kwenye ligi[emoji2] [emoji2]
Anhaa so we upo tim ganNamaanisha nyanja zote..Ikiwa ni pamoja na mpira
Mie sio mtoto bwana.Ninyi watoto mnatukosea sana heshima wakina Nshomile
Ze buluuziAnhaa so we upo tim gan
Wewe kwangu ni mtoto sana unless uwe umezaliwa 75 kushuka chini.Mie sio mtoto bwana.
Njoo uchukueMwenye usingizi wa ziada naomba aniazime kesho nitamrudishia
Ndio maana nikasimamia kauli yangu..Mimi sio mtoto.Wewe kwangu ni mtoto sana unless uwe umezaliwa 75 kushuka chini.
[emoji122] [emoji122] nami nahamia chelsea,nipo arsenal miaka yote sioni nnachoshabikiaZe buluuzi