Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Umeamkaje kakake?
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahhahaha,
Viluwi luwi
Nakungoja huku kwa majaliwa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nipo vizuri kwenye sekta kama hizo
Kwanini isiwe[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Asantee bro akee, Asubuhi/siku njema yegomasika[emoji4]Mi buheri wa afya! Basi mchana/jioni njema!
[emoji2] [emoji2] ,Nakungoja huku kwa majaliwa mama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zaidi ya sanaWewe unaijua hii lugha kwa undani, eeh? [emoji1][emoji1]
Hamna mtu aliekuwa anagombana@Jembekilo hatimaye ule uzi wa mafarakano ya Miss Natafuta na Money Penny umefutwa!! kidogo ufikie huu wa kwako kwa kuwa na page nyingi. hahahahah. ahsanteni JamiiForums kwa kusikia kilio changu cha kufuta ule uzi wa magomvi.
Na mimi usinisahau katika ufalme wako [emoji23][emoji23][emoji23]Asantee bro akee, Asubuhi/siku njema yegomasika[emoji4]
Nimepata mshituko nilivyokuona huku, nikahisi umehamia huku[emoji2] [emoji2]Hamna mtu aliekuwa anagombana
Nilikuwa namwambia ukweli
Tatizo Watz hawapendi kuambiwa ukweli
Njoo huku nimeanzisha mwengine Kwanini ulikuwa unakasirika ukiitwa mchumba Ulipokuwa mtoto?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mimi usinisahau katika ufalme wako [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimepata mshituko nilivyokuona huku, nikahisi umehamia huku[emoji2] [emoji2]
Nimeufyata ghafla[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nicheke miyee kuufyata ndo nn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeufyata ghafla