MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Hakuna neno mkuu. Hata ma-Great Thinkers huwa wanapita pita huku kusalimia sometimes. Naona huyo GT naye kapita tu. Wachache sana kama wewe ndiyo angalau huwa na courage ya kuzoea zoea huku. Wengine mara nyingi huja kutukejeli huku halafu wanarudi kwenye majukwaa ya ma-Great Thinkers wenzao huko hasa kwenye siasa, MMU na mengineyo...
Lugha ya kufundishia masikini. Kikwazo kikubwa sana kwa elimu ya vijana wetu...
Safi sana hiyo such kind of music ni sehemu ya maisha yangu, fresh kusikia mkuu na wewe mdauHahahaha
Nawasikilizaga sana tu,
Huku mimi ni nyumbani, Karibu sana huku MkuuMkuu nakuona uko na huku !
Unawasikilizaga Slaughter House ???Safi sana hiyo such kind of music ni sehemu ya maisha yangu, fresh kusikia mkuu na wewe mdau
Pamoja sana
Ni kweli kabisa mkuuLugha ya kufundishia masikini. Kikwazo kikubwa sana kwa elimu ya vijana wetu...
Pamoja sana mkuu!Huku mimi ni nyumbani, Karibu sana huku Mkuu
Hahahahahah aiseee ushaanza rithi tabia za humu za kutafsiri maana mbili tatu hahahNilivyoona aina za mbegu fikra zangu zikahama.
[emoji38]
Hivi hatuwezi kutumia Kiswahili kufundishia watoto mashuleni ??Lugha ya kufundishia masikini. Kikwazo kikubwa sana kwa elimu ya vijana wetu...
Yeah nawasikiliza Da 59 ana punch sanaUnawasikilizaga Slaughter House ???
Wakina Royce Da 59, Jo Budden na Joel Ortiz ???
Yaani, wananiharibu mtoto wa watuHahahahahah aiseee ushaanza rithi tabia za humu za kutafsiri maana mbili tatu hahah
Casting crowns...[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443]
I came to You with my heart in pieces....
And found the God with healing in His hands...
I turned to You, put everything behind me...
And found the God who makes all things new....
I looked to You, drowning in my questions....
And found the God who holds all wisdom...
And I trusted You and stepped out on the ocean...
You caught my hand among the waves....
Cause You're the God of all my days...
Each step I take
You make a way
And I will give You all my praise
My seasons change, You stay the same
You're the God of all my days
[emoji445][emoji445][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji443]
Hahahaha bado hawajakupa maana ya parachichi na saksifon hivyo haujaharibika banaYaani, wananiharibu mtoto wa watu
Kuna dogo anaitwa Joyner Lucas ni balaa sana!Yeah nawasikiliza Da 59 ana punch sana
Ndo madude gani hayo?Hahahaha bado hawajakupa maana ya parachichi na saksifon hivyo haujaharibika bana