Naenda kuwatafyta youtubeYuko kwenye Band inaitwa Lady Antebellum
Unapomtafuta usitafute Lady AntebellumNaenda kuwatafyta youtube
Sawa mkuu, nashukuru, Usiku mwema kwakoUnapomtafuta usitafute Lady Antebellum
Andika Hillary Scott & Family..Huku ndiyo kaimba Album ya Gospel
Kwako pia.Sawa mkuu, nashukuru, Usiku mwema kwako
Is that you?Naenda kuwatafyta youtube
Mhhhh...!!!Ni kweli kabisa mkuu
Itabidi ifike mahali tuamue moja. Kama ni Kiingereza basi Kiingereza tangu la kwanza. Kama ni Kiswahili basi Kiswahili. Hii mshika mbili hii inatukosesha vyote. Tunazalisha wasomi ambao linguistically ni semi-illiterate: Kiswahili hawajui sawasawa na Kiingereza hawajui. Ajabu sana...Hivi hatuwezi kutumia Kiswahili kufundishia watoto mashuleni ??
Post mbili tu za Andjul zinatosha kumharibu hata mtawa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani, wananiharibu mtoto wa watu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji38]Post mbili tu za Andjul zinatosha kumharibu hata mtawa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jibu basi na veve, au ninong'oneze asisikie mtuUnaenda wapi njoo kule basi uniimbie nyimbo za kikoromije nilale baby
Muda woote unazunguka tu, namba hutumi.Sasa tajiri wangu mbona hujatuma mapesa ???
Luku inanikatikia huku bwana...
Hilo chenza,
Hilo chenza,
Mie nshakuwa chungwa.
Ndio[emoji101][emoji101]
Ndio
Mbona umenitumia picha bila maelezo?
Hizi ni inside info ila tu ukisikia watu wanaongelea chenza la Andjul ndilo hili. Kwa maelezo zaidi muulize Andjul mwenyewe.Mbona umenitumia picha bila maelezo?