Mkuu sijasema nahitaji access huko.Ngoja nikuombee access tuingieko wote
Dah!
Ila na yeye anakubalivipi demu/mwanamke wake apige picha kama hizo?
Halafu hiyo picha huku imefikaje?
Mambo mengine bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Aache kulalamika watu washajifaidia vituz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nikuombee access tuingieko wote
Ila kwa reaction ya jamaa inaonekana hakua anafahamu kuhusu upigaji huo wa picha inawezekana binti alipigwa na mwanaume mwingine,jamaa anasema hajakosea maana anamfaham mwanamke wake so kaon hadi chenza ni lile lileDah!
Ila na yeye anakubalivipi demu/mwanamke wake apige picha kama hizo?
Halafu hiyo picha huku imefikaje?
Mambo mengine bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Aache kulalamika watu washajifaidia vituz
He he he heMkuu sijasema nahitaji access huko.
Hizi mambo hizi dah!Mungu atuhurumie.Nini picha hata video zipo,camera hadi kwenye pete za urembo au pen mtu unashtukia tu video hadharan wakat hakukua na camera wala cctv
Masikini hadi huruma.Ila kwa reaction ya jamaa inaonekana hakua anafahamu kuhusu upigaji huo wa picha inawezekana binti alipigwa na mwanaume mwingine,jamaa anasema hajakosea maana anamfaham mwanamke wake so kaon hadi chenza ni lile lile
Mara usomapo huu ujumbe ujue nakutafuta. Ukija tukutane inboxDaisy[emoji7][emoji7][emoji7]
my favView attachment 716697
Nipo maa,njooMara usomapo huu ujumbe ujue nakutafuta. Ukija tukutane inbox
Haya, najaNipo maa,njoo
Naaaaaam...Andjul?