Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Minofu ya kuku ya kukaanga na kitunguu na pilipili hoho (chicken fajitas) . . Mahitaji . 250g/ 1/4 kilo minofu ya kuku Hoho 1/2 mara 3 (nyakundu, kijani na njano) Kitunguu maji 1 Vijiko 2 mafuta ya kupikia Kijiko 1 cha chai chicken seasoning Kijiko 1 cha chai kitunguu saumu na tangawizi Chumvi na pilipili manga kwa kuonja . Maelekezo Andaa viungo; katakata kuku, kitunguu na pilipili hoho vipande virefu virefu Kwenye kikaangio katika moto wa wastani; chemsha mafuta, kisha ongeza nyama ya kuku, chicken seasoning, kitunguu saumu na tangawizi. Kaanga mpaka nyama ikaribie kuiva, ila isiive kabisa Ongeza kitunguu maji, pilipili hoho, chumvi na pilipili manga Endelea kukaanga kwa dakika chache, mpaka kuku aive vizuri na mboga mboga ziwe crunchy, zisilainike sana Pakua, enjoy na chakula
 
PIZZA CAKE . . MAHITAJI . 480 gram unga wa ngano . sukari kijiko kikubwa cha chakula2 . kijiko kikubwa cha chakula Baking Powder1 kijiko kidogo cha chai Dried Basil1 kijiko kidogo cha chai chumvi1/2 kijiko kidogo cha chai Baking Soda240 gram Cheddar cheese kata cubes 180 gram mtindi halisi 60 gram maziwa ya maji4 ute mweupe wa yai 60 gram siagi iliyoyeyushwa120 gram mchanganyiko wa kitunguu, pilipili hoho, nyanya na bilinganya chop chop60 gram Pizza Sauce120 Mozzarella cheese iliyokwaruzwa JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI Washa moto wa oven nyuzi joto (200 C). Chukua bakuli kubwa safi na kavu kasha changanya unga wa ngano, sukari, baking powder, salt, basil and baking soda Changanya vizuri ichanganyike kasha tupia katika mchanganyiko wako vipande vya cheddar cheese. Chukua bakuli jingne na weka mtindi, ute mweupe wa yai na siagi piga piga mpaka ichanganyike vizuri. Chukua mchanganyiko wa mtindi na mayai kisha mwagia kwenye mchanganyiko wenye unga wa ngano. Hakikisha una changanya vizuri pole pole ichanganyike vizuri. Don't be too rough, hakikisha inachanganyika vizuri na unga wote umelowana kusiwe na unga mkavu au mabonge bonge. Tupia mboga majani na uendelee kuchanganya Sasa mchangayiko wako utakua mzito na safi kabisa Chota mchanganyiko wako na kisha weka kwenye muffin cups. Hakikisha kabla ya kuweka mchanganyiko wako unapaka mafuta katika hizo cups ili pizza yako isishike baada ya kuiva. Chota pizza sauce 1 kijiko kidogo cha chai kisha weka juu ya kila moja wapo Mwisho unachukua ile mozzarella cheese ilyokwaruzwa na unamwagia kwa juu. Choma katika oven kwa dakika 20 Choma mpaka upate rangi ya kahawia au mpaka ukichoma toothpick katikati inatoka safi kabisa. Kisha toa katika oven na iache ipoe kwa dakika 5 kabla hujazitoa kwenye tray uliochomea, Zikishapoa muonekano ndio huo weka juu ya mweza kisha anza kuzitoa moja moja. Unaweza kuigandisha pizza hii kwenye freezer tumia an airtight container na inaweza kukaa kwa mwezi mzima; siku ukitaka kula basi toa kwenye freezer na yeyusha katika joto la chumba au room temperature pole pole
 
*CAMERAMAN WA ENZI HIZO....* [emoji57][emoji57]

Makamera man walikuwa majeuri
kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii
Kamera ina likamba fulani jeusi
inaning'inizwa shingoni.....
Kameraman ana kabaskeli kake hapa...
nyuma kana begi lina picha za watu ambao hawajamaliza madeni.
Kamera man anakupiga picha leo
anakwambia picha yako utaipata panapo
majaaliwa mkanda ukijaa... unaweza
kusubiri miezi miwili...
Enzi hizo kamera man ndiye anayekupangia pozi gani ukae ili upigwe....
Kamera man anampanga hadi baba yako
mzazi kwenye picha hahahahah! Baba
anakuwa mpoleeee! Kamera man anapita na kabaskeli kake
watu wanamuita anaringa huyoooo!....
ukute msimu wa sikukuu mnaweka oda
kwa kameraman wiki mbili kabla....... akija
anaanza kwanza kula pilau na soda yake
ipo amehifadhiwa.... baada ya hapo ndo anapiga picha......
Enzi hizo picha inatoka umefumba
macho, na unailipia... sio siku hizi mtu
anapiga picha mia anachagua moja ndo
anaipost mtandaoni......
*Enzi hizo sisi watoto* *tukililia picha tunapigwa* *flash kilio kinaisha*
*hapohapo.......* [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa! Baadhi yao walikuwa na tabia mbaya ya kuuza picha ya mdada kama kuna kaka anakuzimikia longiii basi anafanya kuinunua..Unadang'anywa iliungua.[emoji2] [emoji2]
 
Daisy[emoji7][emoji7][emoji7]
my fav
images%20(1).jpeg
 
LIVERPOOL imepanga bei ya Pauni 142 milioni kama Real Madrid itaamua kumfukuzia staa wake, Mohamed Salah, katika dirisha kubwa lijalo la majira ya joto.

Inasemekana kwamba Madrid inamfukuzia staa huyo wa kimataifa wa Misri ambaye Liverpool ilimchukua kwa kiasi cha Pauni 37 milioni tu kutoka Roma katika dirisha kubwa lililopita la majira ya joto
 
RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez inadaiwa anataka kumnasa beki wa kulia wa Arsenal, Hector Bellerin, kwa ajili ya kumpa changamoto Dani Carvajal ambaye hana mpinzani katika nafasi hiyo.

Inadaiwa Arsenal ipo tayari kuachana na beki huyo katika dirisha kubwa lijalo la majira ya joto endapo kuna timu itafika dau la Euro 50 milioni, lakini Madrid pia inaweza kukumbana na upinzani kutoka Juventus.
 
ARSENAL imeanza kumfukuzia kinda wa Kibrazili, Maycon, anayekipiga katika klabu ya Corinthians ya Brazil na inadaiwa kuwa klabu yake ipo tayari kuachana naye kwa dau la Pauni 9 milioni tu.

Kiungo huyo alikuwa anakaribia kujiunga na Shaktar Donetsk katika dirisha la Januari, lakini uhamisho huo ulikwama na sasa Arsenal imekuwa mstari wa mbele katika mbio za kumsaka katika dirisha kubwa la majira ya joto.
 
London, England. Mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mane amesema anamatumaini Liverpool itatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa.

Liverpool imefuzu kwa robo fainali ya mashindano hayo baada ya kuiondoa Porto kwa mabao 5-0 na sasa wanasubili kujua wapinzani wao war obo fainali katika ratiba itakayopagwa kesho.
Mane amekuwa chanzo cha mafanikio ya Liverpool dhidi ya Wareno hao baada ya kufunga mabao matatu katika mchezo wa kwanza na kusonga mbele kwa kishindo.

Pamoja na mwaka 2018, kuwa ndiyo mwaka wa kwanza kwa Liverpool kufuzu kwa robo fainali baada ya kuwa nje kwa miaka tisa, Mane anaamini wanaweza kutwaa ubingwa huo.
"Zimebaki klabu kubwa pekee katika hatua hii," Mane aliimbia Sport Bild.
"Tunajua kama unataka kuwa ubingwa ni lazima uwafunge mabingwa. Tuna kiwango cha kuifunga timu yoyote kwa sasa. Tutahakikisha tunatimiza lengo.
"Kwanini Liverpool isiwe juu 2018? Tunataka kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa. Naamini tunauwezo wa kurudia kile kilichofanywa 2005."
 
Kuna wasiwasi Manchester United kwamba siku moja Glazer family watauliza wapi fedha zao zinapotumika.

Miaka mitano kabla ya Sir Alex Ferguson hajastaafu alitumia pauni 71milioni kununua wachezaji katika kipindi hicho alifanikiwa kutwaa mataji matatu Kombe la Ligi na kufanikiwa kufuzu fainali mbili za Ligi ya Mabingwa.

Lakini miaka mitano baada ya kuondoka, ametumia pauni 490milioni na mafanikio yake yakiwa ni Kombe la FA, Kombe la Ligi na Europa Ligi.

Hata hivyo hali hiyo inakuja baada ya timu hiyo kushindwa kuingia katika robo fainali ya Lihi ya Mabingwa.

Kuna sababu nyuma ya kuongezeka kwa dau hilo, kama kuongezeka kwa ada za uhamisho tofauti na ilivyokuwa kwa kikosi cha Sir Alex.

Lakini nyuma ya hilo kunaweza kumfanya Glazers kuuliza kuwa fedha haiwezi kununu mafanikio au ni jinsi fedha hizo zinavyotumika.

"Kila kitu kimebadilika," alisema Jose Mourinho Jumanne usiku wakati alivyoulizwa jinsi gani Man United itarudisha heshima yake Ulaya.

Tatizo kumebadilika kila kitu katika miaka hii mitano ndani ya Man United kuanzia makocha, wachezaji, lakini wameshindwa kushindana na Chelsea, Leicester au Manchester City katika kuwania mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England hachana na kushindana na miamba mingine Ulaya.
 
The Champions League quarter-final draw will take place Friday, March 16 at 11:00 GMT (06:00 ET) .
It will happen at UEFA's headquarters in Nyon, Switzerland, and fans will be able to follow it via live stream on UEFA's official website as well as being able to follow the latest news on Goal.
The first legs will be played on April 3 and 4, with the return legs taking place a week later on April 10 and 11.
 
How does the Champions League quarter-final draw work?

Unlike previous draws, there are no restrictions on which clubs can draw one another.
So, should Barcelona reach the next round, for example, a Clasico matchup against Real Madrid could be on the cards.
 
The Europa League quarter-final draw will be made at 12:00 GMT (07:00 ET) on Friday, March 16.
The first leg of the quarter-final ties will take place on Thursday, April 5, with the reverse fixtures to be played a week later on Thursday April 12.
 
Back
Top Bottom