Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Hii lokooo ni ya nini chief...Da'Vinci
Amini ninachokwambia.Inapungua kwa sababu hauko huko. Nenda ukaongee na wanakijiji watakwambia...
Sijui Nieleweshe Ww Kama UnajuaHii lokooo ni ya nini chief...
Salama kaka, mmmhhhhbMarahabaaaaa Mondray! Za masiku?
Niliko muda wa kulala haujafika ndugu yangu. Mbona mapema hivi?
Hafu kibodi yako ilekebishe kwenye Auto- Capitalisation Mwandiko wako mchafu mno chief...Sijui Nieleweshe Ww Kama Unajua
Ni kukaribisha vema weekend jamaniUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau