Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf siku hizi ni raha sana.
Halafu huyo wa kwanza hapo anajina la kimwakaleli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haki ya Mungu...
Naanza kumuelewa Numbisa sasa,hakuna kuonana sura. Jamaa kapokelewa kwa nderemo utadhani katoka sayari ya Jupita!!!
 
Kupe na wadudu wengine hutegemea damu ya wanyama ili waishi. Na kwa njia hii hueneza vijidudu vya magonjwa. Kupe husababisha ugonjwa hatari uitwao ndigana kali ambao ni moja kati ya vikwazo vikubwa vya uzalishaji wa mifugo nchini. Kutokana na vifo vya mifugo vilivyoripotiwa nchini Tanzania katika kipindi cha miaka 12 (1981- 1993) ilithibitishwa kwamba asilimia 72 ya vifo hivi vilitokana na magonjwa yaenezwayo na kupe. Kwa mfano, Ndigana kali ilichangia kwa asilimia 43.7, Ndigana baridi kwa asilimia 16.6, Maji moyoni kwa asilimia 6.5 na Kukojoa damu kwa asilimia 5.2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…