Harufu ya maembeWeekend inanukia
[emoji23][emoji23][emoji23]anaitwa "mwanan"Sio kweli.
Thank you[emoji4][emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani ameandika na jina lake?[emoji23][emoji23][emoji23]anaitwa "mwanan"
Aiseeee!!
Kupukuchua mahindi kunafanya pia dawa za kuhifadhi zifanye kazi vizuri. Ana uwezo wa kutoboa hata vibunzi vigumu vya mahindi na kushambulia hata ghala iwapo ghala ni la miti. Wakati akitoboa mahindi vumbi kubwa la zao hili hutoka, na hutaga mayai kati ya 4 mpaka 8 kwenye matundu ya nafaka aliyoyatoboa, na viluilui vyake hukua kwa kula vumbi hilo. Dumuzi huweza kuishi katika maeneo yenye unyevunyevu mdogo sana ambayo wadudu wengine waharibifu hawawezi.