Thank you[emoji4][emoji4]
Ndiyo nenda kwenye uzi wake kaone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani ameandika na jina lake?
Aiseeee!!
MavituzUsiku wa kupeana
Teh![emoji23][emoji23][emoji23]Youβre welcome! Asiione shemeji yako kipenzi! [emoji1]
Pande zipi?Nimekumisi naomba nikualike pasaka. [emoji4]
Teh![emoji23][emoji23][emoji23]
Waogopa nini sasa?
Me nilijua asiione mwalimu wako[emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwalimu wangu hajui Kiswahili. Yeye anatema Kispanyola tu na Kijita kwa mbali! [emoji1][emoji1]
Najua siku nitakapo onana na mtu humu siku hiyo hiyo nitafunguliwa uzi...Thank u,ahahaa anonymous forever
π π π π π , acha uchokozi.Teh![emoji23][emoji23][emoji23]
Waogopa nini sasa?
Me nilijua asiione mwalimu wako[emoji125] [emoji125]
Nimeona kigunzi... Usijali sanaNini sasa?
Teh tehπ π π π π , acha uchokozi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya bhana
Kwema lakini?
Gunzi/MagunziHivi ni vibunzi au βVigunziβ? Hiki Kiswahili nacho saa ingine ni pasua kichwa! [emoji1]