Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupanuka huku kwa kilimo hiki kulichangiwa kwa kiasi kikubwa na makampuni yaliyojishughulisha na manunuzi na usafirishaji wa soya kwenda katika nchi za Japan na Singapore. Baadhi ya mashirika haya ni Overseas Food Cooperation, (OFC), General Agricultural Produce for Export (GAPEX) na National Milling Cooperation (NMC).
 
Kwa bahati mbaya uzalishaji wa soya ulilenga soko la nje tangu ilipoingizwa nchini, hivyo wananchi hawakunufaika moja kwa moja. Hivyo baada ya mashirika haya kuacha biashara hii, uzalishaji wake ulianguka. Uzalishaji ulianza kuibuka tena kati ya miaka ya 1980 na 1990 baada ya wananchi kuhamasishwa juu ya matumizi ya soya katika kutengeneza vyakula vya watoto.
 
Aina ya soya maarufu nchini Tanzania

Aina zifuatazo ndizo zinazojulikana zaidi nchini. Hizi ni pamoja na Bossier, Uyole Soya 1, Ezumu Tumu, Delma Hermon, Dulker na Kaleya. Karibu aina hizi zote zina sifa ya kustawi vizuri, kukomaa kwa muda maalum na kutoa mavuno makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…