myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Asee umesihi maisha matamu sana.
Yaani haukuwa na stress kabisa
Omujungu.... Yegoooooo. Nimesikia "dada" zako hapa wanataka wifi wa kizungu na vitoto virembo vichotara...Usiwaangushe !!! [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
View attachment 724358
Duh!Aisee nisiseme uongo mkuu,
Nimeishi kwa raha na mustarekhe...
Kwenye graduation yangu nilipewa mlima wa mabox ya zawadi.
Sema tu Rey **** (popote alipo) alaaniwe kwa kuniletea mabox ya Kondom....Niligombana sana na maza..!
Niliwahi kutana naye mwaka 2007 ni mama ana watoto nikaishia tu kucheka,...!Duh!
Mambo ya ujana yana mengi..Niliwahi kutana naye mwaka 2007 ni mama ana watoto nikaishia tu kucheka,...!
Japo Rey alikuwa mlimbwende wa haja lakini alikuwa hajatuliza kichwaaa...!
Naona mume wake kamshikisha adabu hadi katulia...!