Nilikuangaza kule kwenye msambwanda wa sijui tz sweet heart wa watu.Humu jf kuna vichaa kwakweli,hivi mtu unaamka asubuhi unaanza kutukana
Kule nilipita kimya tu...Nilikuangaza kule kwenye msambwanda wa sijui tz sweet heart wa watu.
Kwema kbs.Kule nilipita kimya tu...
Kwema??
Acha tu,anaitwa tanzania switihati et.Kwema kbs.
Na kweli maana watu wako na mahaba ya uongo sana, sifa zingine kule unaguna tu.
Hahahhaha! Wale wale.Umemaanisha "Mnakaa Balemo"?