Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,036
Nilikosea?
Nilikosea?
hehehe kwann ufikirie hvyo, hakuna kufikiria hvyoMsitegemee kuwa tendo la ndoa pekee ndilo lijenge ndoa yenu hapo mtakuwa mnajidanganya, fikiria kama ikitokea kwa bahati mbaya mmoja wenu akafanyiwa upasuaji utakao pelekea kutofanya tendo la ndoa je mtaendelea kuifurahia ndoa yenu au ndio mtaishia hapo?.