Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Eti wanaume wote wanaojielewa wako pm,tena wana maneno mazuri ya kubembeleza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Say whaaaaaaat?
Tatizo PM karibu zote zimefungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli..
Kwema jirani...unaendeleaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani kwema
JF hapa vurugu tupu. Na mtandaoni kwa ujumla. Telegram kule mambo yanawaka moto balaa watu kudhalilishana mtindo mmoja. Kutongoza online always has been a risk na sasa inazidi japo wanaume hawakomi, na hasa hawa matinejazi.Eti wanaume wote wanaojielewa wako pm,tena wana maneno mazuri ya kubembeleza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asanten sana wana jf hasa wanaume wa umu
Na hii ndo jf,bora hizo pm zilizofungwa maana kama huyo[emoji115][emoji115][emoji115]itabaki kidogo tu awaanike
Gudi moningi
Haina SokoUvunaji hufuatiwa na kupura. Soya haitakiwi kupigwa kwa nguvu kwa sababu mbegu yake hupasuka kirahisi. Baada ya kupura, takataka na uchafu mwingine huondolewa kwa kupepetwa na kupembuliwa. Kisha hukaushwa mpaka kubakia asilimia 10 ya unyevu ndani ya mbegu, hapo huwa tayari kuhifadhiwa ghalani kwa matumizi au kusubiri soko. Kwa kawaida, mavuno ni kilo 1500 hadi 2500 kwa hekta. Ukubwa wa mavuno hutegemea aina, hali ya hewa, rutuba ya udongo, matumizi ya mbolea, na utunzaji wa jumla wa shamba.
Huku kheri kabisa[emoji120][emoji120]Kwema jirani...unaendeleaje
Hatuwezi kukoma hadi yatukute,sijui hatujifunzi kwa wengine.JF hapa vurugu tupu. Na mtandaoni kwa ujumla. Telegram kule mambo yanawaka moto balaa watu kudhalilishana mtindo mmoja. Kutongoza online always has been a risk na sasa inazidi japo wanaume hawakomi, na hasa hawa matinejazi.
Just woke up. Ready for church to worship my Creator. We siku yako inaendeleaje?
Afu ww!! Unajua mi nilishaanza kulia hukuSi hautaki kuamini kama ni mzima.
Hata hivyo ni mambo ya kawaida tu.Hatuwezi kukoma hadi yatukute,sijui hatujifunzi kwa wengine.
Ndo natoka kibaruani saizi,nashukuru Mungu.[emoji120][emoji120]