Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutokana na hali ya afya zao za akili kuimarika, niliamua waachiwe huru ili waungane na familia zao kuendelea na matibabu wakiwa nje ya taasisi hiyo,” alisema.

Pamoja na kuelezea kuachiwa huru kwa wagonjwa wa akili, Profesa Kabudi pia aliainisha mafanikio mbalimbali yaliyotekelezwa na wizara pamoja na taasisi zake katika utoaji na usimamiaji wa haki katika kipindi cha mwaka 2017/2018.
 
kila mmoja wetu anafanya anachofanya kutafuta furaha kwenye maisha. Juhudi zote tunazofanya kwenye maisha ni kwa ajili ya kupata furaha’’ kwa hiyo kila mtu anapigania kuwa na mafanikio ili kutafuta furaha ya kudumu na siyo furaha ya muda mfupi.
 
Chagua kuishi maisha ya falsafa yako ambayo yatakupa furaha ya kudumu katika maisha yako na ukiendelea kuishi maisha ambayo si yako, maisha ya kushindana basi ni dhahiri kabisa utakuwa unaikimbiza furaha. Njia nzuri ya kupata furaha kwanza kuwa na shukrani kwa kile ambacho unacho sasa na kwa kile ambacho unakipata hii itakusaidia kukupa hamasa ya maisha,
 
I Think The Person Who Told Africans That
Shoes Are Kept Under The Bed Is The Same Person who Told Them That Clothes Are Washed On Weekend....[emoji23][emoji23][emoji23],ka ufanyangi ivoh akuna difference na mwenye anakojolea karae[emoji31][emoji31]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…