Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimatusi mengi yanini huna haya utatukana mpaka. unitumie hela umesikia nataka hela usidhani huku tulipo hakuna wanaume wapo nikumie picha mimi ulikuwa unachart na mume mwenzako kama hujui natulikuwa tunakuchora umeshtuka ungetoa namba uone ungesikilizia sasa mimi sina haja ya kukutukana najitambua wewe hujitambui jua hiloo sijakufuata umenifuata so utajisort mwenyewe hapa ndipo nimeishia kama unaniona malaya niwewe ila hujaambulia kunila ndio maaana unahasira mimi sio chakula cha wote sikatai sikuwa na mtu nilipokuwa na chart na wewe ila sasa ni naye siitaji usumbufu nimenyamaza unanitafuta unanitafutia nini sasa jua ninaye siitaji makomboo mimi nipo nawachapa kaziii.
Hasira za nini sijakuulia mtu mimi wewe .
So kila anayekosea jambo nimiye niache kabisa jf sio yako na wala wewe hujaiweka hewani nipo na maisha yangu niachee jf ni sehemu ya kula raha sio ya kuifungua nakulog in unawaza kama unaua eti utongozwe wewe nishakuambia kuna watu wakujikomba nao wewe si mmoja wapo wewe ni wakuchorwa tu sio wakuambiwa vitu nawewe uweke nikweli chochote ulichoambiwa ulikuwa mtegooo tu.
So kuanzia leo pleasee nikomeee.
 
Mwaka 2018 ni mwaka wa Smartphone, mpaka sasa tumesha ona kampuni mbalimbali zikijipanga kuleta mapinduzi ya teknolojia kwa upande wa simu za mkononi. Kutokana na kampuni nyingi kuingiza simu mbalimbali sokoni je unajuaje simu nzuri ya kununua, ni hatua gani ufutate kabla ya kununua simu..? tena kwenye mwaka huu wa simu janja.
 
Teknolojia Mpya
Kwanza ni anze na pointi hiyo ambayo ni ya msingi sana, kadri miaka inavyo zidi kwende teknolojia ya simu janja inazidi kubadilika. Hii ikiwa pamoja na muonekano wa simu mpaka ndani ya simu yani sifa za simu. Sasa ili uweze kununua simu yenye uwezo mzuri na simu itakayo dumu ni lazima kuhakikishe una nunua simu yenye teknolojia ya kisasa. Hapa na maanisha kuanzia kimfumo mpaka kisifa.
 
Kufafanua zaidi labda ni kwambie ni vitu gani usifanye, usinunue kamwe simu ambayo inatoleo la Android kuanzia Android 5.0 kushuka chini, Tafuta simu ambayo inatoleo kuanzia Android 6.0 na hii ni kwa sababu matoleo ya Android yanabadilika kila mwaka na matoleo ya zamani yanazidi kuondolewa na watengenezaji wa programu nyingi, hapa nikiwa na maanisha programu nyingi zitakuwa hazifanyi kazi kwenye matoleo hayo ya zamani hivyo ni muhimu kuhakikisha unatumia simu inayo endana na wakati.
 
Kwa namna nyingine kama unao uwezo ninge pendekeza ununue simu yenye mfumo wa Android kuanzia Android 7.0 na hii ni kwa sababu mfumo huu ndio unao shika chati kwenye simu nyingi za sasa na ndio mfumo unao semekana unatumika sana kwa sasa hivyo watengenezaji wa programu za Android mara nyingi wana hakikisha mfumo huu unafanya kazi vizuri kwenye programu za
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…