Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niliona hii mechi hatari kweli
 
Wote tunaijua kampuni ya Adobe kutokana na kazi zake na kwa wengine tunaijua kampuni hii kutokana na kutoa ajira kupitia programu zake maarufu kwaajili ya utengenezaji picha, video pamoja na ubunifu wa tovuti, kuongezea kwenye mkusanyiko wa programu zake hivi karibuni adobe imeleta programu mpya kwaajili ya mifumo ya iOS na Android.
 
Programu hiyo mpya imezinduliwa rasmi hapo jana na imetengenezwa maalum kwaajili ya kurahisisha kuscan docemet zako zilizoko kwenye mfumo wa karatasi kuja kwenye mfumo wa kidigital, yote hayo kwa kuwezeshwa na kamera ya simu ya mkononi (smartphone)
 
Wamuuze tu
 
Kumbuka programu hizi ni bure kabisa huna haja ya kununua lakini inakubidi kuwa na akaunti ya Adobe ili kuweza kuingia ndani ya app hiyo, ili kujiunga unaweza kutengeneza akaunti moja kwa moja kwenye app hiyo ni rahisi sana hivyo hakuna wasiwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…