Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio sana,hayo ni mambo ya miaka ya 90. Tulikuwa hatuhangaiki na Fm radios/hazikiwepo isipokuwa labda Radio DW...
Sisi ilikuwa AM na SW1 kwa raha zetu
Kuna mwimba mashairi mmoja alikua ananikosha pamoja na kwamba nilikua sifatilii ila kila anapoimba mashairi yake unamsikia tu utake usitake maana alikua anaimba mida ya mchana karibia na taarifa za habari so wenye redio wapo benet wasubiria kwa hamu
 
Ile anaanza tu unasikia "malenga wetu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo umetoka shule/kuchunga ng'ombe njaa inauma vibaya mno
 
Kinywaji gani walikuwa wadhamini wa mchezo wa redio-Jangala?
Kipindi cha dj show kilikuwa siku gani na saa ngapi?
Kipindi cha mama na mwana cha Elesia Maneno kilikuwa saa ngapi?
Deborah Mwenda alikuwa anaendesha kipindi gani maarufu?
Kipindi cha mkoa kwa mkoa je?
Mzee David Wakati...
Mzee Katembo...
Kuwa mtoto kuna raha yake tu,
Lakini pia watu walithaminiana tofauti na sasa.
 
Back
Top Bottom