Brighton na Bournemouth wanamnyatia mshambuliaji Mwingereza anayechezea Celtic Scott Sinclair, 29. (Mail)
ahahahaNaona Numbisa hatoi shikamoo ya kumaanisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
It might be
Swansea nao wanadaiwa kutaka sana kubadilisha uhamisho wa mkopo wa kiungo wa kati wa Wales Andy King, 29, kuwa uhamisho wa kudumu iwapo watanusurika na kusalia ligi kuu. (Mirror)
Kwa nini mkuuMhhh! Kuna upungufu mkubwa wa makocha wazuri duniani.
Swansea nao wanadaiwa kutaka sana kubadilisha uhamisho wa mkopo wa kiungo wa kati wa Wales Andy King, 29, kuwa uhamisho wa kudumu iwapo watanusurika na kusalia ligi kuu. (Mirror)
Swansea nao wanadaiwa kutaka sana kubadilisha uhamisho wa mkopo wa kiungo wa kati wa Wales Andy King, 29, kuwa uhamisho wa kudumu iwapo watanusurika na kusalia ligi kuu. (Mirror)
Great news Numbi upoMshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 25, yuko tayari kuipuuzilia mbali Real Madrid na yuko tayari kupewa mshahara wa £200,000 kwa wiki Anfield. (Sunday Mirror)
Mkuu22:20
Nani huyoInashangaza milionea anapojinyonga
Hahahaha naona umefurahGreat news Numbi upo
Kuna maisha ya usawa wa kiuchumi yalikuwa na raha sana.Kuwa mtoto kuna raha yake tu,
Lakini pia watu walithaminiana tofauti na sasa.
Kipa wa Manchester United na Uhispania David de Gea amesema mpira utakaotumiwa Kombe la Dunia baadaye mwaka huu "ni wa ajabu sana" na "ulihitaji maboresho". (AS)

HahahahaNi bora tu abaki L’pool badala ya kutimkia timu nyingine. Ameshakuwa kipenzi kikubwa cha mashabiki na wapenzi wa bwawa la maini duniani kote.