Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio sana,hayo ni mambo ya miaka ya 90. Tulikuwa hatuhangaiki na Fm radios/hazikiwepo isipokuwa labda Radio DW...
Sisi ilikuwa AM na SW1 kwa raha zetu
Kuna mwimba mashairi mmoja alikua ananikosha pamoja na kwamba nilikua sifatilii ila kila anapoimba mashairi yake unamsikia tu utake usitake maana alikua anaimba mida ya mchana karibia na taarifa za habari so wenye redio wapo benet wasubiria kwa hamu
 
Ile anaanza tu unasikia "malenga wetu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo umetoka shule/kuchunga ng'ombe njaa inauma vibaya mno
 
Kuwa mtoto kuna raha yake tu,
Lakini pia watu walithaminiana tofauti na sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…