Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa
 
Yupo. Anakujaga mida ya wanga na kumwaga picha za visketi vifupi au magauni mazuri mazuri na kwenda zake. Na likes huwa anatoa...

Gusia tu mambo ya muziki na utamuona mara moja !!!

Aliyepotea ni Konge. Inabidi tumtafute tumrudishe.
Kwa hiyo mida wewe unawa uko nae si ndio au unaogopa kuitikia ili sisi tusijuwe kama nawe ni miongoni mwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…