Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
G'morning!good morning [emoji43] [emoji43] [emoji43]
Kwema dogo?
G'morning!good morning [emoji43] [emoji43] [emoji43]
SW1 hahahahaSio sana,hayo ni mambo ya miaka ya 90. Tulikuwa hatuhangaiki na Fm radios/hazikiwepo isipokuwa labda Radio DW...
Sisi ilikuwa AM na SW1 kwa raha zetu
bembea inauzwa bei gan hiyoYa ya yaaaaaaaah....
View attachment 726195
We nawe Aaaaaargh...Hahahahaaa kidogo nifunguke,shukran
madilu kanipa fundisho hahahahah
Nawe muhenga kidogoKuna mwimba mashairi mmoja alikua ananikosha pamoja na kwamba nilikua sifatilii ila kila anapoimba mashairi yake unamsikia tu utake usitake maana alikua anaimba mida ya mchana karibia na taarifa za habari so wenye redio wapo benet wasubiria kwa hamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona Numbisa hatoi shikamoo ya kumaanisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi bado kapo ndani au kalishatoka?
Huyo ni Man u damunumbisa wewe shabiki wa timu gani Epl
Shubamit... nani dogo?? mm dogo??? yaan unaniita dogo??G'morning!
Kwema dogo?
That's the bro I know and love [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Mambo binti mpole
Ambae nimetokea kukufahamu tangia misingi ya ulimwengu
Hahahaha kitambo sanaIle anaanza tu unasikia "malenga wetu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo umetoka shule/kuchunga ng'ombe njaa inauma vibaya mno
Nina frustration zangu in someone voiceWatching you dance
Burebembea inauzwa bei gan hiyo
Kwa mfano ikiwa kweli haiwezekani tenaBinti mpole au
tulia tunafukuza babu at the end of the season.....cech pia tunamstafisha kilazima....tunachukua majembe mengine ya maanaNa sisi wa Arsenal tusemeje mkuu?
Hahahaha umekaribia wajibika mkuuhe he he
muda wa kumtafuta first born...
Buda hiyoAsanteeeeh....
Kweli kabisa mkuuKuwa mtoto kuna raha yake tu,
Lakini pia watu walithaminiana tofauti na sasa.