mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mama na mwana saa nane na nusu jumamosi mchana
kop naona mambo sio mabaya mnatakata kinoma now daysHuyo ni Man u damu
Dawa ni kukopeshwa huduma....RAHA MNAPATA WOTE CHA AJABU GHARAMA KWAKO
Tena wakati mwingine yeye ndo zaidi. Mtu anaelemewa na utamu mpaka unampepea halafu kupigwa lazima utapigwa tu. Utaratibu wa hovyo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]RAHA MNAPATA WOTE CHA AJABU GHARAMA KWAKO
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji15] [emoji15] [emoji15]
hiyo bure akachukue mzee wa liverBure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Udogo mali mkuu. Unataka uitwe muhenga?Shubamit... nani dogo?? mm dogo??? yaan unaniita dogo??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha naona umefurah
Kweli mmejipanga. Safi sana !!!tulia tunafukuza babu at the end of the season.....cech pia tunamstafisha kilazima....tunachukua majembe mengine ya maana
ha ha ha haHahahaha umekaribia wajibika mkuu
Kweli kabisaKuna maisha ya usawa wa kiuchumi yalikuwa na raha sana.
Enzi hizo toka Tandika hadi Oysterbay ukiona nyumba ina fence basi ni michongoma au maua/minyaa.
Yap nasi tunakupa hiNawasalimu
Nawasalimu
Hahaha huyo anasababu yake anaijua kwann ananiita dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Udogo mali mkuu. Unataka uitwe muhenga?
Uhenga raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Udogo mali mkuu. Unataka uitwe muhenga?
Mashabiki takriban 42,000 wanatarajiwa kuhudhuria kikao wazi cha mazoezi cha timu ya taifa ya Uhispania katika uwanja wa mazoezi wa Atletico Madrid wa Wanda Metropolitano Jumatatu. (AS)
Mashabiki takriban 42,000 wanatarajiwa kuhudhuria kikao wazi cha mazoezi cha timu ya taifa ya Uhispania katika uwanja wa mazoezi wa Atletico Madrid wa Wanda Metropolitano Jumatatu. (AS)
Mkuu unakimbiza kimya kimya21:01