mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu niajeNumbisa
Mkuu niajeNumbisa
Una elimu ya sayansi ya wanyama [emoji4] [emoji4]Magonjwa hatari yanayoenezwa na kupe ni haya:-
Ndigana kali: East Coast Fever
Ndigana baridi: Anaplasmosis
Kukojoa damu: Babesiosis
Maji moyo: Heart water
Kuvimba bandama: Canine Chruchiosis
Mkuu likes zako tunazihitajiNumbisa
Tafsiri yake kwa kiswahiliLife is like dice [emoji456] game
Kuna maisha ya usawa wa kiuchumi yalikuwa na raha sana.
Enzi hizo toka Tandika hadi Oysterbay ukiona nyumba ina fence basi ni michongoma au maua/minyaa.
Kuna maisha ya usawa wa kiuchumi yalikuwa na raha sana.
Enzi hizo toka Tandika hadi Oysterbay ukiona nyumba ina fence basi ni michongoma au maua/minyaa.
HahahahahAngekuwa na kibamia haya yote yasingempata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
View attachment 726158
Kuna maisha ya usawa wa kiuchumi yalikuwa na raha sana.
Enzi hizo toka Tandika hadi Oysterbay ukiona nyumba ina fence basi ni michongoma au maua/minyaa.
Indeed yale mabilioni yake alipataDk shika akiona atakudai fidia [emoji28][emoji28][emoji28]