Hii picha nilishawah kuiona sehem,inaitwaje hyo hadith?
Mamlaka ya Kenya ilimrudisha Canada baada ya kushiriki katika kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga kama "Rais wa watu".
Wiki iliyopita Miguna aliiambia BBC kuwa mamlaka ya Kenya haijafuata maagizo ya mahakama ya kumpatia hati za kusafiria za Kenya.
Serikali ya Kenya ilimvua uraia Miguna na kumrudisha Canada ambapo pia ni raia huko.
HahahahaKwa mfano ikiwa kweli haiwezekani tena
Good movetulia tunafukuza babu at the end of the season.....cech pia tunamstafisha kilazima....tunachukua majembe mengine ya maana
Mahakama ya kenya ilitoa amri kwa serikali hiyo kurudisha hati za kusafiria za Miguna na kusaidia katika kurejea kwake lakini kwa mujibu wa Miguna serikali haija fanya hivyo.
Mwandishi wa BBC Ferdinand Omondi ambaye alikwenda katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta amesema vyanzo vinasema serikali inataka kumpa visa ya muda wa miezi sita na kuchukua pasipoti yake.
Duuh inasemaje hahaah sijui kizungu miee
Hahahaha kama dawa tunampiga city CL tunakwenda semi finalkop naona mambo sio mabaya mnatakata kinoma now days
Aaah weee mtu moyo tu unachemba mbili sembuse ubongo wa kutunza lugha zote hizo bagesh yaisheeeeeeeUnajua Ki Swedi, Kidenishi au Kifini? [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji124]
hapo pagumu kop.....lets wait and see ila ukubwa dawa I hope mtatoboaHahahaha kama dawa tunampiga city CL tunakwenda semi final
Hahahahaha ha ha ha
majukumu hayakimbiwi, tushaambiwa tuzae mpaka mayai yaishemo
Waandishi wa habari wa Kenya wamekusanyika katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi, ili kupata taarifa ya ujio wa wakili huyo wa upinzani Miguna Miguna ambaye aliondolewa Kenya tangu tarehe 6 mwezi Februari mwaka huu.
Kweli ni Mwakaleli hiyo sampo?Tunauza nafaka za kila aina...
View attachment 726160
Watu hawana huruma yaani. Halafu mods hata hawakumsaidia. Hawajui kuwa kwa kadri memba wanavyoongezeka ndivyo wanapata pesa zaidi.Kweli ni Mwakaleli hiyo sampo?
Buraza bado yupo humu ndani? Kilicho mtokea siku ile sidhani kama alikitarajia...
You die happily...And exercise less, see what happens!
Za kubakwa ni 1/10Not good usisapoti hii kitu kama alibakwa sometimes I wish I could be .......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maana ulikuwa bado hauja anza haya mambo ya kidumu na fagioHahahahaaa kidogo nifunguke,shukran
madilu kanipa fundisho hahahahah