Siku moja jaribu kujikaangizia taamuHahahhaa!! Nilipikiwa.
Ntafanya hivyo.Siku moja jaribu kujikaangizia taamu
Kumbe mku huwa unapendelea kufukuzwa [emoji30][emoji30][emoji30]Usiku mwema Mkuu! Leo na mimi mpaka nipate mtu wa kunifukuza! Najua sitapata, acha nikeshe tu; hakuna namna! [emoji1]
Hapana kiongozi sio homa bali woga wa kuongea isije nikaambiwa ni mchocheziMkuu, unaumwa? Mask za nini?