Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Acha vyakula vibovu
Unapokula vyakula visivyoongeza kitu mwilini mwako, mwili haupati virutubisho muhimu, hivyo hutumia kile kilichopo kwenye akiba kukufanya uendelee kuishi. Hii inamaanisha unachokula kinatoka kama uchafu lakini mwili unazidi kutumia kile kilichopo kwenye hifadhi. Ni vizuri kuacha kula vyakula ambavyo havina afya, maana vitakufanya uzidi kupungua balada ya kunenepa.
 
Hakikisha kila chakula unachokula kina virutubisho vingi muhimu kwa afya yako – tumia juisi za matunda halisi, tumia mboga za majani, nafaka halisi zisizokobolewa, achana na vyakula vya kununua na vya kwenye makopo, vingi havina virutubisho muhimu kwa kujenga afya yako.
 
BeG1ymXDrcL.jpg
6
 
Back
Top Bottom