Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Bebi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulivyofurahia sasa[emoji55] [emoji55]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mpotezee huyo goldie ink, anasumbuliwa na usingizi wa mchana.
😀 😀 😀 😀 , goldie ink anamsingizia mkuu kitu ambacho hajafanya kabisa..Wala hata salamu ya Pm hajawahi toa.Kaone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama kafanya, sioni tatizo. Ni ajabu kutongozana? Hata sijui kutokuelewana kwao kumetoka wapi. Upendo wetu udumu kama anavyohubiri Jirani kila siku😀 😀 😀 😀 , goldie ink anamsingizia mkuu kitu ambacho hajafanya kabisa..Wala hata salamu ya Pm hajawahi toa.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Bebi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamefurahia kutongozwa hako japo kanazuga..[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Ameeenn SYB[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Huna makuu. Unaheshimika. Unapenda sana watoto. Unapenda familia. Unapenda mume mwenye kutekeleza majukumu yake sawa sawa. Mume mwenye upendo. Nakuombea sana siku moja ndoto zako hizi zote zikatimie - upate mume mwema mkajenge familia yenye upendo wa kweli. Itakuwa !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Shimba Shimba..Acha uchokozi.Bebi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kamefurahia kutongozwa hako japo kanazuga..[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Nilitegemea uweke na ka emoji ka vicheko hapo. Ni utani tu bwana. Nshaacha kwani inavyoonekana hii ishu ishakuwa sensitive mapovu nje nje...Shimba Shimba..Acha uchokozi.