Si bure utakuwa ushaanza kunpenda kikongwe mm...maana kila ukiuona mwandko wangu hisia zko znakwambia Ka unaujua[emoji15] [emoji15]
Mkuu BAN imekwisha??Hahahahaha lol! Nimekusoma kule eti maana hayazeeki utamu ni ule ule mradi tu chumvi na ndimu vikolee. Ila mwandiko wako uko bomba na kweli kuna mtu ama mwandiko unaofanana na huu wa OG. Mbona umenitolea mimacho OG? Unajua hivi viemoji kila nivionapo naishia kutabasamu pamoja na kuwa nimeviona zaidi ya mara million.
Mkuu BAN imekwisha??
he he he heYes Mkuu 72 hours ban kwa kumuita Sizonje kichaa.
he he he he
kweli una hasira naye aiseeee.
Kha...
Hii imenikosha, nakuombea umpate kama huyu (kama bado waendelea/haujaanza)
π π π π π π
SHIZA RAMADHAN KICHUYA
Mkuu, huu mwandiko wako kama wa mtu ninae mjua hvMuuaji huyo Mkuu ni mtu hatari sana kwa Taifa letu. Kwake yeye kuua binadamu mwenzie ni sawa na kuua sisimizi si unawaona hata Maaskofu nchini wameamua kumuonya hadharani!? Hili la Maaskofu kumuonya aliye Ikulu halijawahi kufanywa tangu tupate uhuru miaka 57 iliyopita. He is a huge disgrace to our beloved country.
Mkuu, huu mwandiko wako kama wa mtu ninae mjua hv
Nawaona , nawaona...