Pole kwanza.Imeisha Mrs Van. Vipi mambo na maandalizi ya Pasaka?
Sijambo kabisa BAK, Za siku nyingi?.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wasiojulikanaHujambo weye JT? Ni mtu mwema huyu Danpol lakini kuna watu wasiojulikana hawa ni hatari sana ni wa kucheza nao mbali sana. Vipi maandalizi ya Pasaka?
Nadhani wamempata huyo mdogo hapoBeautiful family wako busy kutafuta wanne ili wawe na wa kiume.
Nadhani wamempata huyo mdogo hapo
Mavazi la wenye maumbo yaohuh!? Tough choice...my pick is C
BAK you good mkuu!huh!? Tough choice...my pick is C
Bee dyadya
Kimbembe ni pale mwanaume ukitumwa eti ukanunue bra sijui size F 22 K. Kama una akili tafuta kisingizio cho chote uepuke jukumu hilo. Hutasalimika !!!Halafu kweli