Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahahaha lol! unajua baada ya buku 7 kumwaga humu na MACCM kuweka bajeti maalum kwa hawa watu wasiojitambua ndiyo nikafunguka macho kumbe yanayoandikwa humu yanawagusa na kuwapa wakati mgumu.

Hahahahahaha, dah!
Naona Troll Army ya CCM imevamia hadi Twitter siku hizi.
Yaani kuna vitu nasomaga nabaki nacheka tu......!
 
We acha tu Mkuu. Kabla hao buku 7 hawajamwaga humu ilikuwa hakuna matusi hapa JF ilikuwa ni nguvu ya hoja tu. Sasa wao walipewa maagizo kwamba matusi RUKHSA basi wakaanza kuyavurumisha kwa nguvu zote hadi wengine kuamua kucheza mbali na JF. Wako kiila kona siku hizi ili kufanya kazi buku 7 zao.

Hahahahahaha, dah!
Naona Troll Army ya CCM imevamia hadi Twitter siku hizi.
Yaani kuna vitu nasomaga nabaki nacheka tu......!
 
Aliyewahi kuwa Rais wa Ufaransa Sarkozy kupandishwa kizimbani kujibu tuhuma za ufisadi. Natamani siku hili liweze kutokea nchini ili mafisadi wote wakiwemo Mkapa na Kikwete na sharia kuachwa ichukue mkondo wake bila yoyote yule kutaka kupindisha.
Kabisa lowassa na mbowe hawatakosekana mahakaman pia
 

Hahahahahahaha!
Ila siku hizi naona Idara ya Propaganda ya CHADEMA imepangaranyika kidogo.
Nakumbuka kuanzia 2008 hadi 2014 ilikuwa ni moto wa kuotea mbaliii, Mzee Jakaya alipata sana taabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…