Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

And thou shalt eat it as barley cakes, and thou shalt bake it with dung that cometh out of man, in their sight. And the Lord said, Even thus shall the children of Israel eat their defiled bread among the Gentiles, whither I will drive them. Then said I, Ah Lord God ! behold, my soul hath not been polluted: for from my youth up even till now have I not eaten of that which dieth of itself, or is torn in pieces; neither came there abominable flesh into my mouth. Then he said unto me, Lo, I have given thee cow's dung for man's dung, and thou shalt prepare thy bread therewith.
Ezekiel 4:12‭-‬15 KJV
https://bible.com/bible/1/ezk.4.12-15.KJV
 
Utachukua mavi ya mtu, uwashe moto, uoke mkate, na kuula mbele ya watu.” Mwenyezi-Mungu aliniambia, “Hivyo ndivyo Waisraeli watakavyokula mkate wao unajisi wakiwa kati ya mataifa ninakowapeleka.” Ndipo nikamwambia, “Ee, Bwana Mwenyezi-Mungu, kamwe sijajitia najisi kwa kula kilichokufa chenyewe au kilichouawa na mnyama wa porini, wala sijapata kuonja nyama ya mnyama najisi tangu ujana wangu.” Kisha akaniambia, “Basi, nakuruhusu utumie mavi ya ng'ombe badala ya mavi ya mtu ili kuokea mkate wako.”
Ezekieli 4:12‭-‬15 BHN
https://bible.com/bible/74/ezk.4.12-15.BHN
 
Upendo sio tu uliozoeleka wa Jinsia mbili tofauti, upendo tunaouzungumzia hapa ni Universal Love, Upendo juu ya Ulimwengu na vyote vilivyopo, Upendo kwa wanadamu wengine bila kujali umri, jinsia, kabila, nchi, au imani/dini. Upendo juu ya mazingira, mimea, mito, milima na kila kitu. Ukiweza kuishi kwa kutazama upendo mkuu kama wa yule Aliyepelekea uwepo wa vyote hivi utaweza kuona maisha ni furaha na upendo huchochea furaha.
 
Asante kwa neno.
 
Sio tu upende anayekupenda bali penda wote, kwa asiyeonyesha upendo kwako naye mpende. Sio umpende kwa malengo binafsi bali kutoka moyoni na itakusaidia daima. Penda bila kujali utapendwa au utalipwa bali penda na jizoeshe kupenda na kujali wanadamu wenzako.
 
Kuna aina tatu za hasira za watu, au unaweza kusema kuwa kuna aina tatu za watu. Ambapo aina hizo za watu ni kutokana na hasira waliyonayo. Aina hizi za watu ni;
Watu wanaochora kwenye mwamba,
Watu wanaochora kwenye udongo/ardhi,
Watu wanaochora kwenye maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…