Kweli kabisa.
Ukioa/kuolewa kwao wanakuona kama kaka/dada kwao,, vile vile hawana aibu kabisa.
Wanawake wa kinyakyusa ndo wanasimamia familia zao (uchumi), wanaume wa kinyakyusa wengi wao wavivu/wazembe sana.
Halafu wana mila yao moja hivi, mkwe wa kike haruhusiwi kuonana na baba mkwe..Kama ni salamu sauti tu ndo zitakazosikika.
Kwa bahati mbaya ikitokea wakakutana uso kwa uso, mkwe atakimbilia kujificha ili kumpisha baba mkwe.
Sio ajabu miaka 10 kukatika hamjui baba mkwe anafananaje zaidi ya kusikia tu sauti yake.
Kwao kula na kuvaa ndo fahari.