Badala ya kupoteza muda kufanya majukumu, kujenga n.k wakati vyote hivi vinapita na tunaviacha hapa duniani tunapaswa kufahamu kuwa lengo la maisha ni kujitambua. Unapojitambua utabadilisha mabaya yote na kuhakikisha unajiweka imara katika matendo, mawazo na maneno sahihi.

"Kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi" - Zitto...Miaka flan enzi za JK ,lissu alikua anamshambulia sana nyerere na wafuasi wake wakawa wanashabikia na kutoa kashfa kwa nyerere,saiv yamewakuta magumu wameanza kumbuka na kuamin falsafa za nyerere aiseee siasa hizi