Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanasayansi wanapotoa studies zinazokinzana namna hii sisi laymen tunatakiwa tufanye nini? Tunywe kahawa au tuache? Pesa zinaharibu sayansi...

 
KWA kifupi tu ndiyo hivyo, Gareth Bale, amewekwa sokoni kazi ni kwenu wanunuaji.

Real Madrid imetumia lugha ya kijanja tu kutangaza kwamba Bale anapigwa bei baada ya kusema haiwezi kuifikiria ofa yoyote ya kumuuza mchezaji huyo kama haitakuwa imefika Pauni 88 milioni.
 
Taarifa za kutoka kwenye vibaraza vya Santiago Bernabeu, zinadai Los Blancos wapo tayari kupeana mkono wa kwa heri na mchezaji huyo waliyemsajili kwa Pauni 85 milioni miaka mitano iliyopita kama tu kutawekwa mzigo wa Pauni 88 milioni.
 
Pesa hiyo ni kitu kinachoweza kufikiwa na Man United kwa sababu hatakuwa amevuka bei ambayo miamba hiyo ya England ilimnunulia kiungo wa kati, Paul Pogba, kutoka Juventus miaka miwili iliyopita. Man United ilitoa Pauni 89 milioni kupata huduma ya Mfaransa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…