NenoJe unatenga muda wa kuweza kujitafakari?
Wengi wanatumia siku yao kujituma, kufanya majukumu yao, kushirikiana na wengine n.k lakini ni wachache sana ambao hutumia muda fulani maalumu kwa lengo la kujitafakari.
Amein...!Utadhani jamaa kaitoa mwaka jana au mwaka huu Mkuu baada ya kuona hali halisi ya yanayojiri nchini. Jamaa alikuwa na maono ya mbali sana. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], aisee ilikuwa raha sana.Loh!!!
Mimi nimelitunza,unakata nyimbo kwenye gazeti unabandika kwenye daftari.
Zinaimbwa muda wa slow jam-ITV au radio one usiku kuanzia saa nne ...usiku tulivu...