Historia ya maisha yake inavutia sana. Napenda kuzisikiliza nyimbo za tenzi kwa jinsi alivyo ziimba kwa hisiaAndjul. Unamfahamu huyu Mbarikiwa? Nyimbo zake zinanibariki sana. Hata huu wa Kinyakyusa (unaweza kuanzia 8:30). Ana wito wa pekee; na ni wazi Mungu Anamtumia...